Habakkuk 1:12

Lalamiko La Pili La Habakuki


12 aEe Bwana, je, wewe sio wa tangu milele?
Mungu wangu, Uliye Mtakatifu wangu, hatutakufa.
Ee Bwana, umewachagua wao ili watekeleze hukumu;
Ee Mwamba, umewaamuru watuadhibu.
Copyright information for SwhKC